Psalms 105:5-6


5 aKumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya,
miujiza yake na hukumu alizozitamka,

6 benyi wazao wa Ibrahimu mtumishi wake,
enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Copyright information for SwhKC